Kwa wanao kula nyama pasaka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wanao kula nyama pasaka.

Discussion in 'Jamii Photos' started by tz1, Apr 5, 2012.

 1. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  385107_283713421667348_100000860778677_789541_720630734_n.jpg
  pasaka njema.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mmmmhhhhh hiyo mishikaki lazima iwe ya salanda..
   
 3. Capitano

  Capitano JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Hao ni chamaki nchanga baaah
   
 4. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hii ni njia ya Iringa mbele kidogo baada ya kutoka Morogoro
   
 5. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Umenikumbusha Salanda mkuu. Hapo ndo kilikuwa kituo kikuu cha kupatia msosi tukisafiri kwa gari Moshi toka DAR kwenda MZA. Tulikuwa tunakula kuku wakubwa hao sijawahi kuona. Ni siku nyingi sijapita hiyo nia tena. Miss you Salanda
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  hiyo mishkaki ya nyama ya tembo au?

  Tobaaaa kumbe panya?
   
 7. paty

  paty JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,253
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  kaka ivi wale kweli walikuwa ni kuku? maana yale maeneo hakuna hata dalili ya kuku zaidi ya yale mandege pori ,
   
 8. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #8
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Mishikaki ya panya mkuu? Ingawa mimi ni mroho wa nyama lakini hapo kaka hata kugusa sigusi.
   
Loading...