Kwa wanao hitaji wan pm

god with us

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2013
Posts
391
Reaction score
100
Nakala zinapaikana bureeee
 

Attachments

  • 1397670839874.jpg
    34.1 KB · Views: 191
Ha h ha am proud of my work aisee,hiyo ni artwork yangu,nilidesign na kupost tu kama utani but ime3enea kila sehem

hongera...hebu niambie yule mtoto wa kiume uliompiga picha akimlilia bosi wako...yule mzima kweli...?
 
hongera...hebu niambie yule mtoto wa kiume uliompiga picha akimlilia bosi wako...yule mzima kweli...?
Sielewi kwa nn watu wazan mnavyozani,ooh mara alipangwa ,cjui cyo mzima mbona mastaa wa nje huliliwas na mashabik wao hamshngai?Diamond anapendwa huo ndio ukweli,nakumbuka tulikuwa kwenye hotel flan mwanza kuna mdada akawa ameingia upande wa vyumba tulimokuwemo alipomwona tu diamond hakuamini,tukashangaa ametoka ,mtu kamkuta nje analia,anadai hakutegemea siku moja angmwona diamond,ni mapenz tu
 
hongera kwa kazi njema ila kuwa makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…