kwa wanao hitaji adobe cs5 master collection mnione | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa wanao hitaji adobe cs5 master collection mnione

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by kadoda11, Nov 8, 2011.

 1. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,317
  Likes Received: 8,420
  Trophy Points: 280
  wale wadau wa mambo yetu ya kukodolea macho monitor za computer(graphic designers,videographers,animators etc)nina adobe cs5 master collection
  kwa anaehitaji anicheki hapahapa jamvini.hakikisaha computer yako ina support 64bit window 7 chini ya hapo haita run installation.
  haitoshi ktk cd wala dvd ina 13GB so itakupidi uwe
  na external HDD.very soon nitakuwa na adobe cs5.5.mpango mzima.
   
 2. K

  Kichakoro JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 1,557
  Likes Received: 1,313
  Trophy Points: 280
  Mkuu nahitaji hiyo kitu kwa hood na uvumba. Ntakupataje mkuu
   
 3. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Shukrani sana mkuu.. na pia kama mtahitaji free activator for the complete master collection...mtanijulisha na nitaipost apa! And again shukrani

  mkuu kwa share yako!
   
 4. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,317
  Likes Received: 8,420
  Trophy Points: 280
  simple kaka 2wasiliane thru JF private massage.
   
 5. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Mimi natumia computer ya Apple version ya Mac OS X Lion. Je naweza iweka kwenye computa yangu hiyp Adobe???????
   
 6. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Orodhesha kilichomo ndani ya package, mi mbona ninayo CS5 kwenye DVD9 iko full hiyo yako ya vipi?
   
 7. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  weka aina ya apple yako, macbook air, macbook pro, imac, g5 pro weka details afu tuongee deal
   
 8. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #8
  Nov 8, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Mie ninayo Master collection ya Adobe CS 5.5 ilikuwa inafanya kazi lakini nimekuwa siitumii miezi kama mitatu nilikuwa safari na nimerudi na nilipoifungua Dreamweaver ambayo nimekuwa nikitumia sana, imenidai key. Kwa kuwa nilikuwa na keygen yake nimezalisha key lakini inazikataa.
  Jamani nani anisaidie? ikiwezekana labda sijui nipate keygen nyingine?
   
 9. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #9
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Ni namna gani naweza kukutumia "Activation" hapa ni Compressed folder (.rar compressed)

  _________________________________________________________________
  nimejaribu hapa chini hebu cheki

  View attachment ADOBE_CS5.5_MASTER_COLLECTION_KEYGEN_WIN_OSX-XFORCE.rar
   
 10. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #10
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Da mi nina adobe cs3 master coll. But cnaga maujuzi xana.Please nipeni help hasahasa after effect
   
 11. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #11
  Nov 8, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Yeah man, asante saaaaaaaaaaana maana itabidi kesho ni install upya nijaribu tena. Ilibidi jana ni unistall kila kitu maana ilikuwa imeshanionyesha kwamba ndio mwisho wa trial.
  Mungu akubariki sana kwa juhudi zako na muda wako wa kutusaidia.

  Daahhh JF chiboko kweli
   
 12. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #12
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 606
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  MI ninazo video tutorial ya namna yakutumia.... kwa anaye hitaji tunaweza kuwasiliana nae..
   
Loading...