Nyawayi
Member
- Jan 30, 2020
- 16
- 11
Kwa wale ambao wameoa au kuolewa na wanauelewa wa sheria za ndoa nilitaka kujua sheria hii imekaaje pale mimi ninapo oa na baada ya kuoa mzazi wangu akanipa nyumba ya kwenda kuanzia maisha ,gari ya kutembelea etc je hizi mali pia zitahesabika ni mali ya wanandoa au ni mali yangu binafsi sababu nimepewa zawadi na mzazi wangu au pia kwa mwanamke wakati wa send off akapewa zawadi na wazazi wake je pia ni mali ya wanandoa wote au ni yake binafsi.karibu kwa wenye uelewa wa hili.