Maisha ni mazuri lakini sikuzote yana mikiki mingi!Ila kuna hili pindi uonapo mmefikia hapa Mmojawetu ajaribu kushuka ili mambo yaweze kwenda sawa!
Naongelea hili la simu pindi ukiona mwenzi wako Simu inakaa kiganjani ikitoka kiganjani hipo mfuko wa shati au Suruali na ikawa ni kila siku napale ikiachwa lazima inakuwa imezimwa naukiiwasha ina Viro au Password Tambua kunakitu hakiitaji kugundulika nakitu hicho nimwiba mkali katika mapenzi yenu au katika ndoa yenu!!Vila kwa akina Mama Dada ukiona simu Kiganjani ikitoka kiganjani hipo kwenye pochi naikipigwa mko wawili inapuuziwa!nalabda ikipigwa msikilizaje anapiga hatua mbil pembeni kuisikiliza kwakisingizio hamsikilizani Jua kunakitu sichakawaida na nimwiba mkali kwenye mahusiano yenu!!Naogopa watu unaowapigia lakini unajibiwa simu hii imzuiwa kwamda!!Au akaunti yako hainafedha yakutosha kukuunganisha na simu hii!!Ukiona hivyo ujue simu itaachwa kila mahali kwakuwa wanauhakika hakuna wakumfikia na sms haziwezi kuja!
Nazaidi ukiona uliyenaye ukirudi simu utadhani ajapiga simu au kupigiwa jua hapo kunakitu!!Machana mwema!!Wana JF hizo nitipu za Simu nya mkononi!!😛hone:
Mapenzi yanautesa moyo weeeeeeeee, mapenzi yanaumiza moyoooooo! niko mbali na masongangeeee................................
???????????????????????? !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
dah,
nimetumia nguvu nyingi kweli,
kukuelewa kiongozi!!!!!!!
Asante kwa Angalizo!!!!!
Poleni kwani naona nimvua za asubuhi lakini nimerekebisha kama kuna mahali hamjapaelewa nitawarekebishia kwa ajili ya wasomaji wapya asanteni sana kwakuona upungufu wangu!Tupo pamoja!Nimetumia guvu sanakusoma thread yako ila nimekusoma ahsante kwa mawazo yako
Ukimchunguza sana bata huwezi kumla kamwe, furahia maisha acha kujitafutia presha za rejereja
Maisha ni mazuri lakini sikuzote yana mikiki mingi!Ila kuna hili la simu za mikononi a.k.a Mobile!Ukiwa na mpenzi wako ukaona mmefikia hapa Basi Mmoja wene ajaribu kushuka ili mambo yaweze kwenda sawa!
Nongelea hili swala la simu za mikononi a.k.a Mobile!Ikifika Mahali ukaona mwenzi wako Simu inakaa kiganjani ikitoka kiganjani hipo mfuko wa shati au Suruali naunaona imekuwa ni kila siku na ikiachwa lazima inakuwa imezimwa naukiiwasha ina Viro au Password Tambua kunakitu hakiitaji kugundulika nakitu hicho nimwiba mkali katika mapenzi yenu au katika ndoa yenu!!Vilevile kwa akina Mama,Dada ukiona simu Kiganjani ikitoka kiganjani hipo kwenye pochi naikipigwa mko wawili inapuuziwa!na labda ikipigwa msikilizaji anapiga hatua mbili pembeni kuisikiliza kwakisingizio hamsikilizani Jua kunakitu si cha kawaida na nimwiba mkali kwenye mahusiano yenu!!
Tena ogopa watu unaowapigia simu unajibiwa simu hii imezuiwa kwamda!!Au akaunti yako hainafedha yakutosha kukuunganisha na simu hii!Ukiona hivyo ujue simu itaachwa kila mahali kwakuwa wanauhakika hakuna wakumfikia na sms haziwezi kuja!Nazaidi ukiona uliyenaye ukirudi simu utadhani ajapiga simu au kupigiwa tangu asubuhi jua hapo kunakitu!!Machana mwema!!Wana JF hizo nitipu za Simu nya mkononi!!😛hone:
Huyo mwenza akitumia akili akakupa uhuru na simu yake wala hutohangaika nayo!!Watu hua wanapata wasiwasi mwenzi akianza kukumbatia simu kama mtoto...Achana na simu ya mwenzako
usijitakie pressure kupanda mara pressure kushuka
Teh teh,ama ukiona mwenza wako kila akija home simu iko silent! Ila ww tulia tulii,kuna siku atajikanyaga mwenyeewe.Unajua shetani nae akimchoka mtu,anamvua nguo hadharani!