wanawake ni wa binafsi sana hata awe anakuzidi salary atakuwa tegemezi tuu
wanawake ni wa binafsi sana hata awe anakuzidi salary atakuwa tegemezi tuu
Life is how you make it! Marriage is how you built it...!
jamaa amaeoa takribani miaka miwili iliyopita,kwa bahati wote ni wafanyakazi sekta binafsi...wamebahatika kupata mtoto mmoja sasa....
sasa basi ,jamaa anakitoyota chake kila asubuhi anakiwasha wanaelekea jobu na mamsapu pembeni...Gari si unaju alazima ipite shell??jamaa bajet ya mafuta mwez mzima ni juu yake!!
akimshusha kazini kwake bimkubwa haishi mara nipe ef 5 ya lunch nk nk...badae naomba nitumie vocha duka lipo mbali haya anatuma!!
jioni the same apitiwe,,oooh beby leo nna hamu ya samaki wa kupaka satoo,ooh kuku wa kienyeji!!jamaa anunue!!!
ela ya bibie haionekani!!na jamaa wanaishi poa tu ila amenisimulia tu kuyajua y andoa yalivyo....
jamani!!!mbona nimeogopa??
Ndivyo ilivyo? sasa zake ziende wapi? kwa kweli nitaendelea kuwagegedua tu
Hii ni story ya kufikirika.... ukiwa mkubwa ukaoa ukawa na familia yako hutaleta story kama hizi jamvini
Tunaojua maana ya ndoa tunaenjoy mno ndo maana mishavu inakuwa dodo kaa paka wa bar nyie bakini hivyohivyo na stori zenu za kuliwazana
Wajibu wa kutunza familia pamoja na mke ni wa MWANAUME. Hili halina ubishi. Lakini upatapo mke aliyefundwa vizuri na mcha-Mungu kamwe hawezi kukubebesha zigo lote mume wake mpendwa. Atakusaidia kwa njia moja ama nyingine kubeba majukumu ya familia hata kama sio 50% kwa 50%. Wanawake wenye hekima husoma nyakati ili kulinda heshima ya waume wao na familia zao.
Ubinafsi ni tabia tu, iwe kwa mwanaume au mwanamke. Kuna wanaume wengi tu ambao wanakimbia majukumu yao ya kifamilia na kuwaacha wake zao wakibeba gharama zote za kutunza familia. A relationship is a two way street, it should be mutual and reciprocal. Na maisha ni kama WWE ili kuyashinda lazima uwe na tag team na mume/mke ajue when to tap out and/or get into the ring.
Heshima ya mwanaume sio kuvua zipu au kujipiga kifua tu kwani hata sokwe hufundishwa kufanya hivyo.
wanawake ni wa binafsi sana hata awe anakuzidi salary atakuwa tegemezi tuu