Naomba kuulizia watanzania wanaoishi Brazili kwenye mji wa Brasilia...! Mimi ni mgeni natarajia kuja huko Brasilia kibiashara. Naomba msaada wenu wa kujua hoteli za bei rahisi walau kuanzia Dola 50-80 kwa siku...!
Nakushauri ucheki google au uangalie kama ubalozi wa Tanzania Brasil wana web.
Ukikosa nenda Foreign ministry kwa habari zaidi.
Karibu sana Belize ukipata nafasi...