kwa wanafunzi kuhusu ku-Confim.

kwa wanafunzi kuhusu ku-Confim.

Abdul Nondo

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
520
Reaction score
2,932
Kwa wanafunzi Muda wa ku- Confirm umeongezwa hadi J.pili saa 6:00 usiku ,tutakuwa makini kuangalia kama Muda uliongezwa utatosha au hautatosha ! Ili tuandike mapendekezo yetu ya muda zaidi kuongezwa kutokana na malalamiko ya wanafunzi.

Tatizo lililopo sasa ni.

1.Code kuchelewa kuwafikia wanafunzi,sababu wapo wanafunzi hadi sasa hawajapata Code!

2.waliopata Code kugoma Ku-Confirm ,wapo baadhi ya wanafunzi wakiingiza Code ili kuconfim inakataa ,na kuandika kuwa Applicant hayupo katika multiple selection lists.ikiwa ni kweli amechaguliwa zaidi ya vyuo 3 au 4 .

3.Wapo ambao wameona majina yao katika list kuwa wamechaguliwa katika chuo fulani ila wakiingia katika account zao wanaambiwa you are not selected! Ikiwa ktk list ya chuo hicho anaonekana.

Bado tunaendelea kuwasiliana na tume ya vyuo vikuu kuona namna ya kulitatua tatizo hili .Pia Rai kwa wanafunzi ni kuwa kama kuna tatizo la kupata Code ni vyema kwa urahisi kuwasiliana na chuo ambacho unatakiwa ku thibitisha ,pia kwa ambao wanaonekana katika list kuwa wamechaguliwa na katika account zao wanaambiwa hawajachaguliwa basi wawasiliane na chuo husika.
IMG_20180907_125653_688.jpg
 
Kwa wanafunzi Muda wa ku- Confirm umeongezwa hadi J.pili saa 6:00 usiku ,tutakuwa makini kuangalia kama Muda uliongezwa utatosha au hautatosha ! Ili tuandike mapendekezo yetu ya muda zaidi kuongezwa kutokana na malalamiko ya wanafunzi.

Tatizo lililopo sasa ni.

1.Code kuchelewa kuwafikia wanafunzi,sababu wapo wanafunzi hadi sasa hawajapata Code!

2.waliopata Code kugoma Ku-Confirm ,wapo baadhi ya wanafunzi wakiingiza Code ili kuconfim inakataa ,na kuandika kuwa Applicant hayupo katika multiple selection lists.ikiwa ni kweli amechaguliwa zaidi ya vyuo 3 au 4 .

3.Wapo ambao wameona majina yao katika list kuwa wamechaguliwa katika chuo fulani ila wakiingia katika account zao wanaambiwa you are not selected! Ikiwa ktk list ya chuo hicho anaonekana.

Bado tunaendelea kuwasiliana na tume ya vyuo vikuu kuona namna ya kulitatua tatizo hili .Pia Rai kwa wanafunzi ni kuwa kama kuna tatizo la kupata Code ni vyema kwa urahisi kuwasiliana na chuo ambacho unatakiwa ku thibitisha ,pia kwa ambao wanaonekana katika list kuwa wamechaguliwa na katika account zao wanaambiwa hawajachaguliwa basi wawasiliane na chuo husika.View attachment 859747
Kwa maana hiyo basi sisi tuliokosa kutumiwa code mpaka leo tukipiga simu admission offices za vyuo tunavyotaka kwenda kusoma tutakuwa tumeshaconfirm moja kwa moja hakuna haja ya kuhofia kuhusu codes siyo?
 
Sasa kwa mujibu Wa hiyo barua inasema second round itatangazwa sasa mbona kunavyuo visha ruhisu nawatu washa apply sijui inakuaje hapo
 
changamoto ni kubwa sana. wako watu wametumiwa code wakiingiza kwenye vyuo wanavyovitaka, kule kwingine nao wanaconfirm automatic. hili swala limehusisha sana wale waliopata udom na vingine kwenye multiple admission. tcu watumie busara. wale wenye multiple admission waende wakajisajiri chuo wakipendacho. wakishasajiriwa majina yapelekwe bodi ya mikopo kupitia tcu. pia iwe marufuku majina kupelekwa board bila mwanafunzi kulipoti chuo husika. vinginevyo ni mwanzo wa mikopo hewa na mikopo kupelekwa vyuo vingine tofauti na alichopo mwanafunzi.
 
Kwa wanafunzi Muda wa ku- Confirm umeongezwa hadi J.pili saa 6:00 usiku ,tutakuwa makini kuangalia kama Muda uliongezwa utatosha au hautatosha ! Ili tuandike mapendekezo yetu ya muda zaidi kuongezwa kutokana na malalamiko ya wanafunzi.

Tatizo lililopo sasa ni.

1.Code kuchelewa kuwafikia wanafunzi,sababu wapo wanafunzi hadi sasa hawajapata Code!

2.waliopata Code kugoma Ku-Confirm ,wapo baadhi ya wanafunzi wakiingiza Code ili kuconfim inakataa ,na kuandika kuwa Applicant hayupo katika multiple selection lists.ikiwa ni kweli amechaguliwa zaidi ya vyuo 3 au 4 .

3.Wapo ambao wameona majina yao katika list kuwa wamechaguliwa katika chuo fulani ila wakiingia katika account zao wanaambiwa you are not selected! Ikiwa ktk list ya chuo hicho anaonekana.

Bado tunaendelea kuwasiliana na tume ya vyuo vikuu kuona namna ya kulitatua tatizo hili .Pia Rai kwa wanafunzi ni kuwa kama kuna tatizo la kupata Code ni vyema kwa urahisi kuwasiliana na chuo ambacho unatakiwa ku thibitisha ,pia kwa ambao wanaonekana katika list kuwa wamechaguliwa na katika account zao wanaambiwa hawajachaguliwa basi wawasiliane na chuo husika.View attachment 859747
Kwaiyo mkuu nondo ambao hatujapata code na chuoni wanasema hawana utaratibu Wa kutusaidia Bali tuwasiliane na TCU tufanyeje
 
Anaejua namna ya kulog inn kwenye akaunt tcu anielekeze, nna password na username tayari.
 
Back
Top Bottom