1. Endeleeni kuuza Sera huko Vijijini kwani wana Upeo mdogo wa mambo / Dira ya Chadema.
Mfano wa Karibu ni Uchaguzi wa juzi wa IGUNGA.........nafikiri mtakuwa mmejifunza mengi.
2. Mikoa ya huku Pwani, Lindi, Mtwara, Masasi (hii ni Wilaya) wekeni juhudi kwa kuuza sera za Chama kwani CCM ''A'' na CCM ''B'' wamedominate sana huku
3. Endeleeni kutoa UOZO wa serikali kwa wananchi
4. Washawishini Vijana wengi wajiandikishe kwenye Daftri la Mpira Kura na siku ya kupika Kura lazima wote waende kwa kuamshana nyumba hadi nyumba.
5. Kuweni Makini na mbinu za CCM tena wakati wa kupiga na kuhesabu Kura kwani hapo ndio wanapocheza Mchezo wao Mchafu. (Mlivyofanya Jimboni UBUNGO kwa Mnyika nawapongeza sana kwani Hakulala m2 mpk kikaeleweka. 2005 Mnyika alikuwa ameshinga ila CCM wakacheza Rafu lakini this Time mlijifunza na mkajipanga Vyema na ndio maana CCM walishindwa kucheza Rafu.......BIG UP kwa hili. So my point is Hakuna Kulala mpk matokeo yanatangazwa
6. Kuna wengi wanakuja na watakuja kujiunga na nyinyi hasa wale wanaotokea CCM ''A'' na CCM ''B'' na NCCR , KUWENI MAKINI SANA TENA SANA kwani nahisi kuna baadhi watakuwa wametumwa ili kudhoofisha Chama na kuuza ramani ya Vita. Mtu akileta Ujinga FUKUZENI mara moja. Hakikisheni mnafanya SCREENING ya kutossha
7.Hakikisheni SIRI za mambo yenu ya Ndani hazitoki
Nawatakia Kila la Kheri na nawaahidi kuwa nitaendelea kuwa balozi wenu Mzuri kwani tumechoka na hawa watu (CCM) ambao wanafikiria mwisho wa Pua zao. Mfano sasa hv wapo bize na kauli ya Mhe Magufuli kuhusu kuongezeka kwa nauli za Ferry.