Kwa wana UKAWA tu

Kwa wana UKAWA tu

Ubora

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
664
Reaction score
255
Ndugu wapenzi na wana CHADEMA halisi na mageuzi kwa ujumla, haihitaji kuwa na degree kujua tumesaritiwa na watu tuliwaamini na kuwapa vyeo ndani ya chama chetu ili watuongoze, cheo ni dhamana,hatutakiwi kubeba makosa ya Mbowe wala yeyote, kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe.

Kutuletea mgombea uraisi wa kuchonga ni jambo lisiloingia akilini! katika watu wote ina maana hakuna mtu ambaye angefaa kuongoza nchi? Ina maana chama chetu kwa muda wote ni mamburula?

Kweli tunafikia sehemu kwenda ikulu kwa kudandia lift ya gari bovu liliachwa na CCM! Hii haiingiii akilini! huu ni udhalilishwaji mkubwa wa wanamageuzi wote! ndo maana wanamageuzi wa kweli wengi wamepiga u turn! bora tuwape CCM waendelee kuongoza japo kwa miaka mitano ili tujipange upya.

Kurudisha majeshi nyuma ukijipanga ni mbinu ya kijeshi. Kwa hapa tulipofikia tukiendee mbele bila kujipanga upya hatutakuwa na real cause ya kuendelea na mapambano maana majemedali wetu wamepigika kiaakili, wako insane, hawana clear mind.

Mwanajeshi mtiifu yeyote kinachotakiwa kwa sasa ni kutumia akili na means yeyote kuwaweka kando hawa majemedari na kurudi nyuma ili tujipange kuepusha maafa na madhara zaidi.

Jeshi letu limeeingiliwa na mamluki aliyokuja nayo huyu mgombea wa kuchonga, wanatutumia tu kwa malengo maalum kwa kipindi hiki! tusiiombe wapate wanachotaka! tutalia na kusaga meno jinsi watakavyotutifua! wao hawana chakupoteza! Ndo maana nawaomba sana wanamageuzi tufumbue macho! tafakari watu waliokuwa upande wa pili wamekuja huku kwa wingi na mambo yao yaleyale waliyokuwa wanayafanya kule ikiwemo matusi na kejeli na dharau kwa mtu anaye tofautiana nao mawazo!

Kwao matusi wala sio issue! kwao kuongopa wala sio issue! tabia ya virusi inapoingia kwenye system ina act kama genuine software kumbe ukishaikubali inaanza kula mafile na hatimaye kucolapse system nzima.

Wanamageuzi tuungane kukataa mageuzi ya kitapeli haya ya virusi kwa njia moja tu, tuwape CCM muhula mmoja then kipindi hiki tujipange kwa mageuzi ya kweli.

Tupingane na mabadiriko yasiyoweza kuratibiwa kama tunaipenda nchi yetu tukatae huu mkusanyiko wa chui wenye njaa wanaohubiri kukomboa kondoo kutoka zizi la simba walio shiba.

KWA PAMOJA TUNAWEZA
 
Kweli makamanda tusibuluzwe,umoja wetu ndo mabadiliko yenyewe.
 
Ukawa tusibuluzwe na watu wenye saccos yao
 
Wewe ni mpumbavu na huna maana. Siku nyiingine kabla ya kutupia threads zako jaribu kuulizia watu wenye akili timamu wakusaidie kupambanua. Wewe ni ccm pure na nina wasiwasi unalipwa kwa kuandika propaganda. Hata kama chadema ingekuwa hailipi, huna mamlaka ya kuwaambia wachague chama gani badala ya chadema. Sio siri unawadhalilisha lumumba wenzio.
 
Umepotea njia wewe, viroba ulivotumia vinakusumbua.
 
Kweli tuwe makini sana,Magufuli yupo vizuri
 
Nadhani wamekusikia. Wenye akili wote kura zao kwa Magufuli. Ila hawa misukule na mawakala wa mafisadi ndo wamebaki kwa fisadi Lowasa
 
Nadhani wamekusikia. Wenye akili wote kura zao kwa Magufuli. Ila hawa misukule na mawakala wa mafisadi ndo wamebaki kwa fisadi Lowasa

Habari za Mtikila kuaga Dunia ni Za kweli?
 
The worms that invade your brain

(CNN)— Once you consume them, they can move throughout your body -- your eyes, your tissues and most commonly your brain. They leave doctors puzzled in their wake as they migrate and settle to feed on the body they're invading; a classic parasite, but this one can get into your head.

Note: mleta mada uwahi hospitali kubwa haraka,kuna shida inaweza kukutokea!
 
Wasio na akili,tena vipofu wa akili,ndio wataichagua ccm,kwa maana ya magufuli.tena wanaoishi kwa kutumia akili ya mtoto mdogo huku wao ni watu wazima,unawezaje kudanganywa na ccm awamu ya kikwete,udanganywe tena na magufili
 
Ubora

I always wondering...kuwa na mamvi baada ya kukatwa...agenda ya ufisadi kuisha...kutaka kuitoa ccm madarakani na kumrudisha mccm wa zamani...zero kujiunga na mccm mamvi..slaa na lipumba kumwaga mzigo...politics za kuona mfumo wa ccm mbovu na sio mfumo uliomweka mamvi cdm ndio mbovu......please give me a break...

CDM death is just around the corner
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni mpumbavu na huna maana. Siku nyiingine kabla ya kutupia threads zako jaribu kuulizia watu wenye akili timamu wakusaidie kupambanua. Wewe ni ccm pure na nina wasiwasi unalipwa kwa kuandika propaganda. Hata kama chadema ingekuwa hailipi, huna mamlaka ya kuwaambia wachague chama gani badala ya chadema. Sio siri unawadhalilisha lumumba wenzio.

Hawa wajinga wameambizana moja akianzisha thread wengine wanakuja wote kushambulia! Hii ni kazi yao waliopewa na JM. Tuwapuuze hawana la maana wanatia huruma hawa, wanaweweseka na bado.
 
Wenye akili timamu wote wanajua Magufuli ndo rais.
 
Ubora

Umekosea heading ulitakiwa kuandika " Kwa bwana ccm na vifaranga vyake tuu"
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom