Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,781
hahah, haupo kwenye kumbukumbu zako au haupo kwenye ulimwengu huu?HUO WIMBO HAUPO
ππππππππhahah, haupo kwenye kumbukumbu zako au haupo kwenye ulimwengu huu?
Nimeukumbuka sana, kuna vionjo vimo humo natamani viniliwaze kidogo!unataka kumsikilizisha nani mbona kama umerusha jiwe gizani ??
Una mawasiliano na mmoja kati ya wahudumu hao wa masata mkuu?Upo Ofisi Za BASATA Mkuu