Kwa wana CHADEMA tu!

mpinzani wako toka ccm atakuwa malariasugu mnafanana maborers wa jf

Ingependeza sana wewe uungane naye muwe wapinzani wangu! Mnashabihiana si sura tu hata fikra zenu ni moja!
 

Mbona watutisha marehemu babu yako hakuwa na msimamo (kuhama vyama) na wewe unataka kufuata nyayo zake ....mi nakushauri uchukue mazuri mabaya mwachie alale nayo
 
Rev Masanilo naomba nikupe hongera.

Vision yako ni nzuri ila ni vizuri uwe wazi na ufahamike na chama ili atleast uwe unapata ushauri kutokana na Msimamo wa chama makini CDM.

Unayoyawaza wanayawaza watanzania wengi kiasi kwaba 2015 hapatakuwa na jimbo la bure kwa hao wezi. kwa hiyo ushauri wangu ni muhimu uanze kuwa mmoja wa wana CDM kabla ya Safina kufungwa.

Nadhani CDM watakuwa strictly sana 2015 hasa kwa wageni, maana unaweza kuwa mda mdogo kwa wana CDM kuweza kukufahamu historia yako ktk chama na misimamo yako juu ya haki za raia na taifa kwa ujumla.
:ranger:
 

Ni mwanachama tokea 1993 nilipewa kadi na BOB Makani kule Shinyanga. Sema nahitaji kuwa hai

Asante sana
 
yes hii ni sawa kabisa. kuchukua nchi 2015 kazi na ianze sasa.

kwenye eneo langu ninaloishi nimeanzisha changamoto kuwa chadeama lazima ichukue diwani. nitachukua udiwani kwa tiketi ya chadema. ila akitokea mwingine wa chadema anayeweza kuuzika kirahisi basi na tumpishe huyo.

kama mwanachama wa kawaida mwenye kainfluence, nimeanza kugawa kadi na kuplay role ya being proud na chadema. nasikitika tu kofia na bendera hazipatikani huku dodoma.

niliishapeleka maoni yangu cdm kuwa kuna haja ya kukamata vichwa vinavyoweza kulianzisha mapema. vianze kusweep na kuhamasisha na kufungua matawi puia kugawa kadi.waheshimiwa wakija wakati wa operation sangara iwe ni kuofficiate tu.....

kunatakiwa kuwa na some sort ya research and planning department. hii itajumuisha mbinu zinazotumika, zipi zinawork, zipi haziwork. zinazowork zinatakiwa kuwa replicated. kuwe na feedbaCK MECHANISM TOKA JUU HADI CHINI.

kunatakiwa kuwe na planning department, hii itaanda MTEF kwa ajili ya execution za majukumu na kuondoa possibility ya kile cha mrema na marando (109 miln) kujirudia. strategic plan ya mwaka mmoja na miaka mitano ni very important ili kuweza kufanya yote kwa pamoja, kujali priorities na kutumia resources kwa matokeo yanayoonekana!

chadema sasa inakabiliwa na ganzi - shinikizo. chama kimekua so rapidly na kinaweza kufail kuhimili mabadiliko kisipokuwa makini. kinatakiwa kihame kutoka kwenye kikundi cha watu hadi taasisi kamili.

wabunge wa chadema wanatakiwa kujua kuwa wako kwenye mchakamchaka. wanatakiwa watoe ushirikiano wa hali ya juu kuongelea au kujenga chama. wasiongeze umbali kati yao na wananchi wa kawaida (wasiloose touch) waige mfano wa mwenyekiti mbowe ambaye hadi leo ni kipenzi cha walalahoi na masela wa vijiweni!

jamani tuna miaka MINNE IMEBAKI KAZI NA IANZE!
 

Masanilo ulifanikiwa ubunge? Naona kuna mzalendo alikupaga hizi notes!
 
Mhenga Rev. Fr. Masanilo... Hivi yupo? Nakumbuka battle zake ni Malaria Sugu "MS"... Dah, those days
 
Kaka masanilo ulipotea sana habari za huko ulikokuwa
 
Ushauri mm kama chadema damuuu bavicha MPE heche,katibu MPE lisu ,mwenez MPE lema hahahahahaha hapo itakuwa noma sanaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…