Kwa wana CHADEMA tu!


kwani kuikomboa nchi ni kwa kupitia cdm tu? Ni lazima kuwe na ndugu yako hapo?
Kama una nia na unaona unaweza fanya hivyo bila kuhofia babu yako alikuwa chama gani au alifanya nini.
 
yan mkuu usiwe na shaka na mm nipe mwaliko nitakusaidia kufanya kampen ya nguvu kikubwa ni elimi ya uraia kwa vijana wetu na ukizingatia hawa wazee wa ccm wanatoweka safi sana nchi hii sasa ni ya vijana twakuunga mkono pambama
 
rev, kila la heri, ni pm then takupa contact zangu, naamini naweza toa mchango wangu ktk harakati za mapinduzi kupitia mipango yako. Kila heri na usife moyo, the africa of today needs stron visioned people like you and all of us. Hasta la victoria siempre.(said che guevara- no 1 revolutionist in the entire world history)
 

Tupo pamoja.......
 

Wengine hufikiri life is all about kula na kunywa tu. Life is more meaningful and fulfilling when you make an impact in other people's life.
Nimesoma resolutions zako kaka, usipunguze mwendo hadi yote yatimie!

Ilikuwaje mzee ukachelewa kumpata Mzenj muda wote huu maana National Service 1991-2 zamani!!!!!!! Hahahahahaaaaaaaaa!

Rev one more thing ni vizuri ukaanza kufuatilia muundo na vikao vya CDM wilaya na mkoa ili uingie kwenye hizo kamati na mikutano at an early stage.
Ongeza idadi ya trip jimboni at least ikupe kujua watu wanafeel nini wakati gani.
 

Ulivyo mdini mkuu wala hupati kitu....watakushtukia tuu!
 

Mishe mishe za maisha mkuu, halafu ukizaliwa wa kwanza lazima usomeshe wadogo zako wapate uelekeo halafu na wewe uanze kujipanga. Jimboni natia timu mara kwa Mara! 2015 naachana na kazi ya mkoloni niwe jimboni muda wote kuhamasisha maendeleo. Asante tena
 
Ni habari njema sana mkuu, usifikirie kuanza bali uanze mara moja. Nenda uanze kujijulisha kwa wananchi ninahakika wabongo walo wengi washaichoka hii ccm!
 
Mkuu heri ya Mwaka mpya!

I have noted ur point, thank you

Habari yangu nzuri

Itakuwa mbaya kama ulipata MP maana du! sisi wa dini ile tutahama katika hilo jimbo lol.

Natamani nilifahamu hilo jimbo nitengeneze jeshi la kujihami
 
Kuwa mwangalifu na ligi yako ya mpira. Kama hutaweza kui-sustain kwa miaka mitano afadhali uachane nayo. Wapinzani wako wataitumia kuku-label mbabaishaji. Na ukae ukijua jinsi miaka inavyoenda ndivyo ligi itakavyozidi kuwa kubwa na hivyo gharama yake kuongezeka.

Wananchi tayari wamechoka maisha wanayoyaishi hawahitaji kuhamasishwa kwa burudani kuitikia wito wa kisiasa. Kwa sasa cha muhimu ni elimu ya uraia. Kuweza kuambatanisha makali ya maisha yao na maamuzi yao siku ya uchaguzi. Wabunge wa ccm waliopita kwa utashi wao ni wachache sana, wengine wote wamepita kwa kutumia hila ya namna moja au nyingine. Ni lazima wapiga kura wako waelezwe na waelewe umuhimu wa kushiriki katika chaguzi. Wawe na shahada, wasiziuze na waende kupiga kura. Kampeni ya mpiga-kura kwa mpiga-kura ni muhimu. Tafuta pesa au muda halafu uwaonyeshe kwamba una moyo wa kujitolea na kuwajali kwa mfano kwa kuchangia kujenga kisima cha maji au madarasa mashuleni. Utakapoanza kampeni kwa kuwagongea milangoni mwao, watakukumbuka na utakuwa na hoja ya kuanza mazungumzo ya kuwashawishi.

Tanzania itakombolewa na wanaojitolea kuipigania kwa vitendo na sio kwa maneno matupu. I salute you. All the best.
 

Kufungua ofisi ni kazi ya chama..wewe unafungua kwa hiyo unatoa rushwa

Utawapa viongozi 10,000/- pamoja na misaada - kuwa mwangalifu na sheria za uchaguzi..hiyo nayo hongo

Manifesto ya uchaguzi huandaliwa na chama katika eneo husika -you sound like dicteta unaandaa mwenyewe
 
Habari yangu nzuri

Itakuwa mbaya kama ulipata MP maana du! sisi wa dini ile tutahama katika hilo jimbo lol.

Natamani nilifahamu hilo jimbo nitengeneze jeshi la kujihami

Bro mambo ya JF yale! Sisi sote ni ndugu nahitaji mchngo wako tujenge Tanzania imara kiuchumi. Huhitaji kuwa na jeshi la kujihami. Sisi ni wamoja tushindane kwa sera
 

Mkuu I salute you!

CHADEMA bado ni chama kidogo mtandao wao upo chini sana. Kusaidia yale madogo madogo sioni kama ni kosa. Ilani ya uchaguzi najua ni kazi ya chama lakini nitashiriki kuiandaa kulingana na mahitaji halisi ya jimbo kwa kushirikisha wadau wote. Charity mkubwa huanzia nyumbani.
 

Umenipa changamoto nzuri sana! Nina imani wengi wanajifunza hapa. Ninaumeza huu ushauri
 

All the best,

Najua wale wa dini ile watakuwa wameumia ukipata..michango yako JF mm!

Hata hivyo sisi underground tukikushtukia siku zako zitakuwa chache

Si unajua mambo ya kandahar
 
una dhamira ya kweli kuwatumikia wananchi au unakwenda kuandaa mazingira ya kukiboresha kitambi?

I think you would have spent your money into somthing kuliko kutumia hela kutoa koment kama hii hapa! Watu tunazungunzia maendeleo ya nchi wewe unaleta utani!? Ndo maana huishiii kuwafuata fuata wakupe kula! We vipi?

Bring your sound opinion here!

I hope next time utakoment criticaly towards development otherwise ningekushauri ukae kimya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…