Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,962
- 6,736
Biashara ya utalii ni moja kati ya biashara nzuri lakini zenye changamoto nyingi. Kwa wazoefu, biashara hizi ni kama Mgodi kama ukipatia namna bora ya kuziendesha. Leo nataka tuzungumzie biashara hizi katika misingi ya ya uendeshaji tu hasa changamoto zako fursa, namna bora ya kujitangaza na kuziendesha na mambo yote yanayohusiana na biashara hizi
Nyongeza;
Baada ya Uzi kukosa mchango wa kutosha basi nimefanya utafiti kidogo ili kuuongezea afya na kuwawezesha watu ambao wanafikiri kwamba biashara ya utalii ni ngumu ili kuwa tia moyo.Katika biashara ya utalii unaweza kufanya kazi kama:
UTANGAZAJI WA BIASHARA YA UTALII:
Biashara ya utalii inahitaji sana kujitangaza.Kwa kutegemea uwezo wako kuna njia mbalimbali za kujitangaza ikiwamo magazeti na majarida,SOCIAL MEDIA,Email marketing,Website,Search Ads,Website ads,etc.Jambo la muhimu ni kufahamu kile ambacho unalenga kukipata katika campaign yako na matokeo unayotarajia.
Iwapo ungependa msaada zaidi kwa ajili ya kuanzisha biashara yako katika maeneo moja wapo hapo juu tafadhali tuwasiliane zaidi kwa email:masokotz@yahoo.com
Karibu

- Tour Operator-
- Tour and Travel Agents-
- Service Provider,hotels,shops,lodges,car hire,guide,au hata trainer/consultant-
- Destination Management/Marketer-
- Tour Operator-Huyu anakuwa anamiliki magari,wafanyakazi na hata accommodation zake mwenyewe na anaweza kufanya marketing peke yake.Eneo hili linahitaji uwekezaji mkubwa pamoja na uzoefu mkubwa.
- Tour and Travel Agents-Hawa ni wauzaji wa huduma za utalii,hotel,usafiri etc kwa mfumo wa commission.Kazi yao ni kuuza bidhaa za makampuni katika kundi la 1 na kundi la 3 kwa kupewa commission.
- Service Provider,hotels,shops,lodges,car hire,guide,au hata trainer/consultant-Hawa wanaweza kuwa wanatoa moja huduma husika au mbili au zaidi kulingana na kiwango cha mtaji na uzoefu wao.Wanatoa huduma hizo kwa watu wa kundi la 1 na 2 kulingana mahitaji yao kwa makubaliano maalum.Mfano kuwakodishia magari,kuwapa hotel rates ambazo ni exclusive n.k.
- Destination Management/Marketer-Hawa wanalenga zaidi katika kuhamasisha watu watembelee eneo fulani kwa kuaandaa promotions,campaigns,na kuorganise matukio kwa lengo la kuhamasisha watu watembelee eneo husika mfano wanaweza andaa,Marathon,Beach competition,Charity events,conferences etc kwa lengo la kuhamasisha na kuelimisha.