Kwa sasa tunafanya kwa Day care Ila soon tutaenda mbele zaidi kwa shule za msingi.
Baada ya wewe kutujuza kuwa umevutiwa na huduma yetu wataalamu wetu watakukoa shuleni kwako na kusajili mfumo wetu shuleni kwako.
Tutaingiza details zote za shule yako ikiwemo majina ya wanafunzi, namba za Simu za wazazi. Tutaingiza pia aina zote za malipo na gharama zake.
Tutatoa matunzo kwa admn wa shule yako jinsi ya kutumia mfumo wetu.
Timu yetu ya wataalamu watakuwa tayari kutoa msaada kwako kila mara utakapowahitaji.
Karibu sana tukusajili na mfumo wetu ambao ni rahisi sana kutumia na kwa gharama nafuu kabisa