Cainan
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 485
- 580
Habari za jioni wakuu, kuna gari moja katika pita zangu nimekutana nayo, ni Subaru Forester SH9 (S-Edition). Engine yake ni turbocharged 2500cc.
Kwa wanaoifahamu gari hii, nilipenda nipate details kama vile drivability, maintenance (je, spare zinaingiliana na SH5 XT?), engine reliability, performance & fuel consumption upande wa traffic 🚦 na highway, na pia kati ya hii SH9 na Vanguard ile ya 3500cc, ipi bora zaidi?
Asante Wakuu, nawasilisha