Kwa waliowahi kwenda kwa RAS SIMBA

Kwa waliowahi kwenda kwa RAS SIMBA

sir venance

Senior Member
Joined
Oct 26, 2017
Posts
151
Reaction score
224
Huyu jamaa nimeanza kumsikika mda sana mrefu sana akijitangaza kua ni mwalimu bora wa kiingereza ,huku akijinadi kua usipoelewa utarudishiwa ada yako,sina nia ya kwenda ila kwa waliowah kwenda mje hapa je,mmefanikiwa kwa kiasi gani kwa ufundishaji wake na hizo ada huwa zinarudi kweli?
 
Mmh ngoja tusubili majibu.
 
Sizonje huwa anaenda usiku, na huu ni mwaka wa pili sasa.

Take him as a case study kama ameshaelewa lugha au Mbado.
Ww ni mtoto au mtu mzima? Kama ni mtu mzima inabidi upimwe akili
 
Hahaha mkuu mtake radhi
Ungejua Ras simba anavyoteseka kijana wa watu ungemwonea huruma hapo...ni kama anachochea Tanuru la matofali mabichi.

Ndio mana siku hizi haweki matangazo tena...amekoma kuongeza wanafunzi.
 
Back
Top Bottom