Nyie ndo wapuuzi mnashusha hadhi za watu hapa.
Kwenda huko na kufanya mambo unayojua wewe si haituhusu.
Hao wanawake wapo wengi tu, unapokuja na akili hizi nae anaweza kukuweka chaka ukasanda.
Ni win win situation..
Timba huko uone rahisi sio nyepesi.