Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,901
- 1,511
wanabodi habar..
nimesoma shahada ya kwanza ya uongozi katika elimu pale UDOM je ? naweza kusoma masters ya HRM ( human resource) ya hichi chuo huria??
je ada zake ziko vipi?
utaratibu wa ulipaji ukoje??
vipi changamoto za hiki chuo ni zipi??