Napenda kuwakumbusha Kuwa Majengo ni shule ambayo Sita sahau mana nilijifunza Mengi kupitia Broo Lyimo nimemmiss sana Kama wewe ni wa Majengo tukumbishane chochote kuhusu shule yetu wadau.
Majengo ni zaidi ya shule,sema sisi si kama wa ilboru full misifa,nafurahia hapa nilipo kwa ajili ya brush la majengo,naamini kuna ma GT wengi hapa ambao ni mazao ya majengo,watakuja punde.

Natamani Manispaa wairudishe ile shule yetu ya Msingi kwani nimesoma hapo na wazazi wetu walichangia ujenzi wa madarasa mnayojisifia nayo eti ya sekondari kwani hao mapadri walishindwa kuijenga sehemu nyingine?
Ufisadi mtupu ulitumika hapa eti kanisa!nalo linaingia katika mikataba ya kifisadi! haiwezekani!!!!!!!!!!.
Nasema tutairudisha tu hii shule siku moja iendelee kuwa ya msingi au sekondari ya kata, Nasema iko siku haiwezekani serikali iiuzie kanisa shule yetu tena ya msingi eti sekondari ya kulipia huu ni wizi mtupu hakuna la kujisifia hapa tena ufisadi unaolihusisha kanisa ehee!!!.