Kwa waliosoma DODOMA CENTRAL SEC SCHOOL

Ile shule imesajiliwa mwaka 1921 na kupewa kibali cha miaka 35. (expire date of land certificate) wakati huo ikiwa chini ya wahindi. Waka renew tena mpaka mwaka 1976 baada ya kuexpire kibali cha mwanzo. Wakarenew tena kwa miaka 16. Baada ya hapo hawajarenew tena kwahiyo mpaka sasa haijulikani mmiliki ni nani. Inshort mpaka sasa shule iko chini ya Rais kwani ardhi haijamilikishwa kwa mtu. Huo ndio usajili unaozungumziwa hapo.

hilo nalo ckua nalijua me nimesoma tu,
 
Ka tatizo ni walimu, wakikagua shule za kata si zitafungwa zote..
 
Da! Tumepiga tuition sana pale kuanzia o level mpaka advance nikiwa mazengo sec.enzi hizo tukiwa na Mugalula akitupigia physics.mi mwenyewe nilifanya ujasiliamali pale baada ya kumaliza form six kwa kuwapigia vijana physics. Sijui mzee Magawa mzee wa kyombe bado alikuwepo pale!
 
kwa mazingira yalivyo pale kwa kweli hapafai shule tena vinginevyo mazingira yarekebishwe watoto wanapiga umalaya tu samahani kwa kutumia neno hili si kawaida yangu lakini sikuona neno rahisi.inatakiwa ianze upya mazingira yana onyesha shule kwa sasa haina mwenyewe na serikali ndio itakuwa mmiliki halali wa eneo hilo hivyo kazi kwako nssf naona ni mdau mkubwa unayeweza kuomba na kurekebisha write up zako na ukachukua eneo ukapiga ghorofa zako za kutotosha na sisi wagogo tuonekane wa maana kwa kuwa na jengo la pili lenye lift baada ya lile la tamisemi ukiachilia mbali kwa sasa jengo refu dodoma ni lile la mipango lenye ghorofa sita.
 
Kwa kweli wizara imefanya jambo la maana kuifunga ile shule,mie nakumbuka nilipomaliza first year nilienda Dodoma kuna jamaa zangu walikuwa wanapiga udom walikuwa wakienda central kupiga part time,shule haikuwa na walimu wakuajiliwa na waliokuwepo ni wa part time tu,wizara imechelewa kuifungia.Wanafunzi wengi wa kike pale walikuwa poneo kwa walimu,wabunge,makonda,madereva,maaskari na wananchi mbali mbali.
 
Naombeni historia ya hii shule make nasikia inasiku nyingi sasa iweje ifungiwe leo?.Nasikia kuna ufisadi unataka kufanyika pale.Je,Tanzania nzima wameona Central tu?.Mbona kuna shule zaidi ya 3 ninazozifahamu za private zipo kama Central lakini hawajazifungia?.Je,wamewaandalia mazingira gani wanafunzi waliokua wanasoma pale?.Adhabu hii ni kwa mwenye shule au wazaz na wanafunzi waliokua wanasoma pale?.
Hapo kuna mkono wa Kigogo si bure!!!
Nawapeni pole sana wadau wote ambao jambo hili linawagusa moja kwa moja,inasikitisha lakini serikili ikikugeuka ni afadhali ya Jambazi na mateka.
Ila jipeni moyo matatizo yenu yatafika kikomo.

Si hivyo,UNGEKUWA WEWE UNALIPA ADA HALAFU UNAFANYIWA SANAA ktk MAISHA YAKO YA BAADAE UNGEANDIKA HAYA ULIYOANDIKA?
Ninakerwa na wanaochezea ELIMU YA WATOTO WETU!
Niliumwa na roho na kumchukia mwalim aliye nifundisha KISWAHILI primary, baada ya kugundua alikuwa na vyeti feki vya ualimu na hakumaliza hata drs la 7.
 
Back
Top Bottom