trachomatis JF-Expert Member Joined Jun 7, 2011 Posts 3,758 Reaction score 746 Jun 16, 2011 #1 Jamani wale Aza Boys wenzangu nashauri tuunde Alumni yetu. Ingawa miaka ya karibuni imekuwa na mchanganyiko hata hivyo ali mradi mtu amepita katika majengo yale tuwe na umoja wetu hata humuhumu ndani ya JF.
Jamani wale Aza Boys wenzangu nashauri tuunde Alumni yetu. Ingawa miaka ya karibuni imekuwa na mchanganyiko hata hivyo ali mradi mtu amepita katika majengo yale tuwe na umoja wetu hata humuhumu ndani ya JF.