Kwa Walioomba Kazi Buzwagi...

Kwa Walioomba Kazi Buzwagi...

Jeremiah Stephin

Senior Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
122
Reaction score
132
Ukiona haikuhusu we pita tu.

Mimi nime apply tena mapema tu, sasa dead line isha pita hakuna simu wala e.mail.

Kuna yeyeto alie pigiwa simu among the applicants?
 
tangazo la kazi lilikuwa la kihuni, halionyeshi unamwandikia nani, wakaweka na namba ya CM ya kiganjani. eti kwamaelezo zaidi piga namba hii. ofisi gani kubwa wanatumia CM ya kiganjani kwa mawasiliano?
 
tuachen juhuma,buzwagi walitoa tangazo na linaeleweka waliomba mwombaji atume cv kwenye email:buzyrecruitment@africanbarrickgold.com nami ni miongon mwa walo apply...deadline ilkuwa tr 24 feb....tuendelee kusubr.......for more information check mi on emmanuelnyambari@gmail.com
 
Wadau, kuna yeyote mwenye updates za ajira zilizotangazwa na ABG kwa posts za BUYERS na zinginezo?
 
please mwenye majibu ya hizi posts ambazo nakumbuka hazikua na experience kama vipi
 
Back
Top Bottom