Kwa walionunua ving'amuzi vya Startimes vya elfu 35

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
838
Kwa walionunua nauliza... je, vinaonesha vizuri?
Je, ukinunua unatumia miez 7 bure bila kulipia?
Vipi kuhusu malipo usipolipia elfu 5 zinabaki chaneli ngapi?
 
kwa walionunua jamani nauliza jee vyaonyesha vizuri na jee ukinunua unatumia miez 7 bure bila kulipia? na vipi kuhusu malipo usipolipia elfu 5 zinabaki channel ngapi???

Kuna jamaa yangu alinunua hicho king"amuzi ni majanga, usipolipia kinaonyesha chaneli moja tu ya bure TBC one.

Ukitaka chaneli zingine itabidi uongeze hela ili wakifungue.

Sasa chagua moja kununua cha bei ndogo uwe unalipia chaneli za ndani au ununue cha bei kubwa uwe unapata free local chanel.
 
Back
Top Bottom