Kwa waliokosea HESLB

Kwa waliokosea HESLB

miksel

Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
63
Reaction score
6
Wakuu tungependa kufahamu kwa waliokosea kujaza hizi form za mkopo.

Kama mimi nimekosea kujaza kata itakuaje hiyo?
 
Hajahainisha umekoseaje au umekosea wapi ..tutakupaje ushauri Dogo?
 
Kuna mtu amekosea kujaza jina la chuo alichosoma diploma inakuwaje hapo?
Lakini unakoseaje chuo ? Wakati ukiweka Reg no za chuo inaleta matokeo yake kutoka NACTE? ANYWAYS sjaelewa ..maana kwa chuo ni hivyo
 
andka barua ambatanisha ukielezea tatzo lako.
 
Kwa wanaomaliza diploma mwezi huu mwishoni,watakuwa na uwezekano wa kuomba mkopo
 
Kwa wanaomaliza diploma mwezi huu mwishoni,watakuwa na uwezekano wa kuomba mkopo
Omba faster, mim mwaka jana niliomba mkopo Kwa kutumia provisional results za diploma maana nilikua sijamaliza chuo, nikapata mkopo.
 
Back
Top Bottom