Kuna babaangu mdogo alipewa amri na babu ya kunitandika kila asubuhi iwapo nitakuwa nimekojoa, bahati mbaya kwangu jamaa alikuwa ananichukia mbaya kwakuwa nilikuwa napendwa sana na babu, basi akachukua nafasi hiyo kuniadhibu kila siku, nikojoe, nisikojoe lazima nichezee stick za kutosha...Kama unakumbuka kukojoa kitandani ni kashikashi zipi ulipata by that time..mimi nakumbuka nilikuwa napigwa na kuambiwa nitoe matandiko huko nikila fimbo!
Raha niliyokuwa naipata nipale niliota nipo upenuni nakujoa huku washikaaji wananisibiria nusu dakika najiluta nipo kwenye dimbwi!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mi niliambiwa kila aina ya dawa mara huyu kasema sijui nipande juu ya mti nikojoe huku naruka toka kwenye tawi,mara nikakojolee mstari wa siafu wapii mara sijui kunywa maji ya mchele yale ya kuoshea wapii kila mbinu nilitumia ila bado nikawa nakojoa bado formula ni iyo iyo ya ndoto uzuri nilikua nalala peke yangu so nikilowesha hapa nahamia pale naendeleza usingizi mbinde maza akija asubui kukagua ha ha ha sometime nikijoa nawai shule kukwepa kipigo ukiludi ile unaingia getini maza anakuanzia vitasa kule kule ikafikia akataka kuja kunitangaza shule da ila akagaili ila ilikua very psychological torture mamnake watoto wengine walikua napapitishwa mtaani na kindumbwe ndumbwe chaliaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tupe uzoefu wako wa kulimwaga kojo utotoni. Mi nimelimwaga mpk darasa la sita *****
Acha kabisa... Nilisevu hili zoezi nilipoingia la saba.... hapo angalau nlikuwa nalimwaga mara moja kwa wiki. Kabla ya hapo nadhani ilikuwa daily...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kundumbwe ndumbwe hakikukuhusu?
Daaahhh!!Acha kabisa... Nilisevu hili zoezi nilipoingia la saba.... hapo angalau nlikuwa nalimwaga mara moja kwa wiki. Kabla ya hapo nadhani ilikuwa daily...
Ndoto yangu njema ya kumwaga kojo ilikuwa mashindano ya kumwaga kojo kwa mbali... Mademu wametuzunguka wanatushangilia waone nani kidume kinachorusha mkojo mbali... na soulmate wangu wa utotoni Hope alikuwa miongoni mwa wachuchu waliokuwa wanashangilia... basi Hope akawa ananishangilia, nami kidume nikiwa nawanyoosha maswahiba kwa kurusha kojo mbali.... Mara Hamad!!... shuubamit!! Hakuna mashindano na godoro lishaloa... ***** wallah
Kama kawaida asubuhi nikadamka na kigodoro changu na kufua mashuka yangu huku nikisubiria bakora za mama yangu ambaye alikuwa mwalimu wangu wa shule ya msingi...
Projectile motion haijawahi kuniacha salama kwenye kojo la utotoni...Daaahhh!!
Projectile motion huku ikishuhudiwa na washabiki lukuki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi ambaye niliwahi kulalia matandiko ya ngozi za ng'ombe huu mziki siwezi kuuhadithiaProjectile motion haijawahi kuniacha salama kwenye kojo la utotoni...
Hahahha *****...Mimi ambaye niliwahi kulalia matandiko ya ngozi za ng'ombe huu mziki siwezi kuuhadithia
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mimi mwenyewe hapa niko hoi nikifikiria, nimebaki kucheka za wengine wanaopiga magodoro pasi kuzima msala.Hahahha *****...
Huo mziki bora usiuhadithie. Nahofu tutavunjika mbavu...
Tupe lako vipi ulikuwa unalimwaga nahisi kojo lako lilikuwa harufu ya sarafu.ha haha
Ha ha ha ndiyo mkuuTupe lako vipi ulikuwa unalimwaga nahisi kojo lako lilikuwa harufu ya sarafu.
Hahahahaa lakini hiyo si fresh maana unaibuka unaenda kumwaga kojo, unageuza upande wa pili unaendelea na mboji yako kwa amani...Mimi mwenyewe hapa niko hoi nikifikiria, nimebaki kucheka za wengine wanaopiga magodoro pasi kuzima msala.
Ngozi ni zaidi ya mwavuli, unajikuta uko swimming pool huna la kusema.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kujisaidia kitandani.Kama unakumbuka kukojoa kitandani ni kashikashi zipi ulipata by that time..mimi nakumbuka nilikuwa napigwa na kuambiwa nitoe matandiko huko nikila fimbo!
Raha niliyokuwa naipata nipale niliota nipo upenuni nakujoa huku washikaaji wananisibiria nusu dakika najiluta nipo kwenye dimbwi!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kumbe ndo maana naona unavyonigongea maLikes tu...Aiseeee
Sijawahi cheka kama leo!!! Mhenga Mwenzanguu Asante kwa mada!!!!
Sina Mbavu mieee
Pole sana.Aiseeee
Sijawahi cheka kama leo!!! Mhenga Mwenzanguu Asante kwa mada!!!!
Sina Mbavu mieee