Kwa walio oa tu!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
*Ukiona kila siku kuna pesa inapotea ktk wallet yako wakati unapo ondoka home asubh. Nunua Pc 1 ya Dume au salama, katafute na PREGNANT TEST inayo soma Positive weka kwenye wallet yako then relax . Mwizi atajitokeza mweenyewe.*
 
Mkuu sumu haijaribiwi kwa kuionja, d'Allah utavunja ndoa siku hiyo hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…