Kwa walio oa au kuolewa

Ziada

Member
Dec 27, 2013
82
17
Mnapokuwa katika ndoa na mna mtoto mdogo ndani kuanzia mtoto wa siku moja Mpaka miaka 2 na mnahitaji mpeani haki ya ndoa inakuwaje maana karibu natarajia kupata mtoto
 
Mtoto akilala tu mzigo unaliwa
 
hiyo nayo ni challenge kwakweli, yani ukiwa na mtoto zoezi linakuwa gumu ni kuviziana tu mastaili ya kusimamia kucha na kulegeza kitanda hayapo tena, kamchezo ni kimya kimya tu no kushangilia ehhh ni shughuli...
 
mwanamke una maneno ww! Hilo neno kusimamia kucha unalipenda itakuwa jamaa anakukaza vzr
 
hiyo nayo ni challenge kwakweli, yani ukiwa na mtoto zoezi linakuwa gumu ni kuviziana tu mastaili ya kusimamia kucha na kulegeza kitanda hayapo tena, kamchezo ni kimya kimya tu no kushangilia ehhh ni shughuli...

ha ha ha ha ha..........

usijali magwiji hawakosi mbinu............
 
kuna vitoto nuksi mkitaka kuanza tu hakooo kanaamka yani utadhani kachunga noma ha ha ha labda kukapiga exile kaende kumsalimia bibi weekend lol.....

hizo ni moja ya mbinu au nyie wenyewe kwenda kupiga mechi za mbali..........I cant wait ninaporudia ujana wa kwenda kupiga mechi za mbali lol!!!!!

ngoja nikuwassap link moja hivi.
 
kwakweli hiyo safi ni kupga show za mbali make usipoangalia unaezajikuta unapiga kitu ya kifo cha mende tu tena in a silent mode alaaah kwani mtoto tumemleta ili atupe tabu
 
Mnapokuwa katika ndoa na mna
mtoto mdogo ndani kuanzia mtoto wa siku moja Mpaka miaka 2 na
mnahitaji mpeani haki ya ndoa inakuwaje maana karibu natarajia kupata
mtoto

this is known to every one ni after 40 dayz.
 
Back
Top Bottom