kwa walio na wanaosoma IFM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa walio na wanaosoma IFM

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by chilubi, Mar 29, 2012.

 1. c

  chilubi JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,049
  Likes Received: 1,030
  Trophy Points: 280
  Ndugu zanguni mi nimeshangazwa na system ya IFM, kwanza kabisa kusema ukweli sijaona faida ya "PROSPECTUS" kale katabu wanachotoa pale mana hakuna walifuatalo zaidi ya marks na grading tu!

  Sasa ivi nimelipia 1st installment kamili, bado installment ya pili, nashangaa matokeo wamezuia mpaka nilipe installment ya pili, mimi binafsi naona wanataka kutuzingua saivi, kikawaida kama umelipa installment ya mwanzi full then you have the right to see. Your results! Au SIVYO JAMANI?

  Vile vile naomba niwauliza pia, je IFM wanaweza kutoa transfer from IFM to another Uni unayotaka? Na kama unaweza je process na requiremnts zikoje?
   
 2. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
  pole sana mkuuu kwani ifm si chuo cha serikali
   
 3. c

  chilubi JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,049
  Likes Received: 1,030
  Trophy Points: 280
  Ni chuo cha serikali,,,,
   
Loading...