1.inategemea muoaji anaweza kuandaa kamati mwenyewe au pengine mzazi wa muoaji anaweza kuandaa kamati iwapo yuko radhi kufanya hivyo! 2.wanakamati sio lazima wawe ndugu tu wanaweza kuwa marafiki,wafanyakazi wenzake,majirani n.k. 3. Ni lazima wanakamati waarifiwe kwa kadi za mwaliko na wapate chakula na vinywaji(soda,bia n.k) siku ya kikao cha kwanza cha kamati.