Kwa walio na matatizo ya kibofu cha mkojo

SHADRACK LUTOBECK

Senior Member
Sep 29, 2013
129
18
Prostate anlargement ni ugonjwa unaosumbua sana watu wengi. Pale maambukizi ya bacteria yanapofika kwenye tezi husababisha uvimbe. Uvimbe huo hugandamiza njia ya mko(urethra).

Njia ya mkojo inapogandamizwa hupelekea upitaji wa mkojo kuwa wa shida.Usipopata tiba mapema uvimbe huo hupelekea kuziba kwa njia ya mkojo. Hivyo hupelelea mgonjwa kuwekewa mpira(catheter)kwa ajili ya kutolea mkojo.

Dalili za ugongwa huo ni pamaoja na

(1)kujisikia maumivu makali china ya kitovu kabla na baada ya kula,

(2)kukojoa mara kwa mara,

(3)maumivu makari kabla na baada ya kukojoa,

(4)kukojoa mkojo wa moto na unaouma,

(5)maumivu ya ngonga,mwili kuwa dhaifu n.k.

Kama unahangaika na kusumbuliwa na ugonjwa huo basi umepona. Nina dawa nzuri sana ya asili inayotibu na kuondoa ugonjwa huo. Dawa hii ni dawa inayonyausha uvimbe wote kwa mda wa wiki nne(4) tu.

Ndani ya mda wa wiki moja ukianza kutumia dawa hii utakuwa na mabadiliko makubwa mno, mkojo utatoka kawaida na baada ya dozi utakuwa safi kabisa.

Kama unahangaika na tatizo hilo nitafute 0759217720
 
Mzee wangu anasumbuliwa nahuo ugonjwa sanaa amefanyiwa operesheni mara mbili lakini bado shida kabisa nakutafuta mkuu
 
Back
Top Bottom