Pole ya nini mkuu.
Tuma Nauli nijeee
Unataka jamaa acheze kamari
Ww huyo jamaa si mara ya kwanza kwa hizo kamari
Hahahaha, huo ujinga sifanyi, hata demu akiwa wilaya ya Ilala Mimi Kinondoni situmi nauli.
Subiri yatakukuta tu
Nishapita hicho kipindi cha kutuma nauli, aje kwa nauli yake atafidiwa.
Tehteh tuma hapa ili nipate na maoni kwa wana jfNjoo pm ha ha haaa
Dudu la yuyu linawasha si hivihivi.Mkuu napita hapo chimala j3 naomba hata maji.Ila me Me usije ukasema enheee kupatikana huyuWakuu nipo bored and lonely sana leo hii.
Kwa member KE aliye Mbeya hasa hasa wilaya ya Mbarali tuchekiane PM ili tupate lunch pamoja na maongez ya hapa na pale.
Urgently
Shkamoo dada yangu beautiful DemissTuma Nauli nijeee