Kwa walio kwenye ndoa

Msaranga

JF-Expert Member
Feb 10, 2009
956
227
Wanajamii mimi naomba kuuliza kwenye ndoa kama kuna mgogoro mama kumnyima baba tendo la ndoa ni sahihi au ndio kubomoa zaidi?mimi nadhani hapo tunakaribisha nyumba ndogo au?au hapo baba atajirekebisha baada ya kunyimwa tendo la ndoa?naomba ushauri wa kina wanajamii
 
Mimi sio mwanandoa ila hata biblia inasema msinyimane isipokua kwa makubaliano kwahiyo siyo sahihi!
 
Chanzo cha mgogoro ni nini hadi kunyimwa unyumba?
la msingi ni kutatua mgogoro uliopo kwani kunyimwa unyumba hakuwezi kutokea tu bila sababu,na kuweka mambo yote sawa kwa kujadiliana na adha unayoipata na kama tatizo likionekana lipo kwako au kwake ni kuweka mazingira ya kusameheana kwani kuwekeana kinyongo na mwisho kuona adhabu ni kunyimwa unyumba siyo sahihi.

Sikubaliani na kwenda kwenye nyumba ndogo kwa tatizo la muda ambalo mtatuzi ni wewe ni mkeo,kwani huko ni kutafuta matatizo makubwa,magonjwa,gharama zisizo na tija kwako,na kupoteza upendo,uaminifu,amani ndani ya ndoa yako
 
chanzo cha mgogoro ni nini hadi kunyimwa unyumba?
La msingi ni kutatua mgogoro uliopo kwani kunyimwa unyumba hakuwezi kutokea tu bila sababu,na kuweka mambo yote sawa kwa kujadiliana na adha unayoipata na kama tatizo likionekana lipo kwako au kwake ni kuweka mazingira ya kusameheana kwani kuwekeana kinyongo na mwisho kuona adhabu ni kunyimwa unyumba siyo sahihi.

Sikubaliani na kwenda kwenye nyumba ndogo kwa tatizo la muda ambalo mtatuzi ni wewe ni mkeo,kwani huko ni kutafuta matatizo makubwa,magonjwa,gharama zisizo na tija kwako,na kupoteza upendo,uaminifu,amani ndani ya ndoa yako
tatizo ni pale mke anakuchagulia marafiki anataka kukutawala ukimdhibiti kwa hilo anakunyima unyumba mpaka ukubaliane na analolitake yeye wakati wewe unaona hayo haya wezekani.
Ila mimi nadhani wanawake wanajisahau sana wakishaolewa wanasahau majukumu yao ndio maana tunatafuta nyumba ndogo
 
lazima hua kunakua na sababu sio hvhv tu cha muhimu ni kuwekana sawa then mnagonga mambo
 
tatizo ni pale mke anakuchagulia marafiki anataka kukutawala ukimdhibiti kwa hilo anakunyima unyumba.
Duh!Sasa mpaka kazini anaenda na wewe?Nwy sikiliza argument yake kuhusu hao marafiki asiowataka..japo sio sahihi kumcotroll mwenzako hivyo inawezekana akawa na sababu za msingi.Hata hivyo nyumba ndogo sio suluhisho bali ni tatizo juu ya tatizo_Ongeeni myamalize kiutu uzima.Acheni kukomoana..ndoa sio mashindano.
 
lazima hua kunakua na sababu sio hvhv tu cha muhimu ni kuwekana sawa then mnagonga mambo

Ni kweli lazima hua kunakua na sababu mpaka mtu anaamua kumnyima mwenzie unyumba. Ila mimi sidhani kama ni suluhisho kwani unamjengea mazingira mwanaume ya kutoka nje ya ndoa
 
Wanajamii mimi naomba kuuliza kwenye ndoa kama kuna mgogoro mama kumnyima baba tendo la ndoa ni sahihi au ndio kubomoa zaidi?mimi nadhani hapo tunakaribisha nyumba ndogo au?au hapo baba atajirekebisha baada ya kunyimwa tendo la ndoa?naomba ushauri wa kina wanajamii

Hakuna raha kama kunyimwa kikojoleo na mai waifu wangu...........Sababu tosha kabisa ya kumtafuta Josefina aiburudishe nafsi yangu.
 
Hakuna raha kama kunyimwa kikojoleo na mai waifu wangu...........Sababu tosha kabisa ya kumtafuta Josefina aiburudishe nafsi yangu.
Wengine wanachukulia yanayosemwa hapa siriaz...usimpotoshe mwenzako kiasi hicho!
 
Wengine wanachukulia yanayosemwa hapa siriaz...usimpotoshe mwenzako kiasi hicho!

Lakini lizzy mi naamini wanaume wengi huwa wanakimbilia huko, sasa wanawake wanatakiwa wajue hili linaweza kutokea ingawa inaweza kuwa ni upotoshaji lakini inatokea katika jamii yetu
 
Lakini lizzy mi naamini wanaume wengi huwa wanakimbilia huko, sasa wanawake wanatakiwa wajue hili linaweza kutokea ingawa inaweza kuwa ni upotoshaji lakini inatokea katika jamii yetu
Kwasababu tu wao wako huko haina maana wawavute wasiokuwepo.Hilo tatizo linajulikana..na kama mtu atacheat afanye kwa sababu binafsi sio kwa ushawishi wa wanaume wengine!
 
sasa wakina mama wanajifanya kutubania ila akisikia una mke mdogo ananza kulia unamwambia wewe ulishindwa kunitimizia mahitaji nimekutafutia msaidizi
 
sasa ww km mna ugomv na mwnzio rha ya unyumba itatoka wp? Kaen mmalze tofaut zenu kwnz thn ndo mengne yafuatie! Ww unafrahia mapenz na m2 alyenuna?
 
hapo lazima kuna sababu hawezi akamnyima hivi hivi wakati anajua kuwa ni mume wake, huyo mume anajua sababu waombane msamaha tu yaishe mambo yaende sawa.
 
Back
Top Bottom