nafasi zitakuw zimejaa maana hapo NIT kutoka kweny tcu guidebook inaonysh wanahitaj wanafunzi almost 150 per each program...na ukianglia number of apolicants selected kwa kila kozi inazid hyo idadi...
Mkuu kwa hapo kuna vyuo hawarusuhu new applicants kwenye second round...wao wanaruhusu wale applicants Wa first round (walio na account tayari)kubadili machaguo yao tu