Kwani wamekuambia hayo yote wanakosa. Wana chama chao, pia sasa wanabenki yao wewe unataka kuwarubuni kwa maslahi yako nini?Kama wewe ni mwalimu tupia namba yako ya simu hapa ili uunganishwe na group la whatsap nchi nzima, ambapo pamoja na mambo mengine utapata kunufaika na yafuatayo:-
1.kupata nyaraka mbalimbali za utumishi.
2.kujua haki zako na namna ya kuzidai .
3. Ufafanuzi wa mambo mbalimbali yahusuyo ualimu.
4.kupata mtandao wa watu mnaofanana kitaaluma nchi nzima. Etc
Weka namba yako nijiunge kwa group la walimu wote wa Tanzania kwani lilishaanzishwa tayari.Kama wewe ni mwalimu tupia namba yako ya simu hapa ili uunganishwe na group la whatsap nchi nzima, ambapo pamoja na mambo mengine utapata kunufaika na yafuatayo:-
1.kupata nyaraka mbalimbali za utumishi.
2.kujua haki zako na namna ya kuzidai .
3. Ufafanuzi wa mambo mbalimbali yahusuyo ualimu.
4.kupata mtandao wa watu mnaofanana kitaaluma nchi nzima. Etc