KWA WALIMU TU

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,628
Reaction score
2,481
Habari wakuu.
Moja ya kazi za mwalimu ni kusahihisha(marking) na kupanga matokeo. Okoa muda wa kufanya zoezi hili kwa kutumia Ms excell iliyoratibiwa ambapo wewe utarekodi Jina na marks tu za mwanafunzi kisha Excell itafanya yafuatayo.
1.Jumla ya marks kwa masomo uliyorekodi
2.Idadi ya masomo
3.Wastani
4.Daraja
5.Nafasi Darasani
6.Maelezo ya daraja mfano, vizuri, wastani au dhaifu.

Kwa mawasiliano nami: 0713-039875
 

Attachments

  • CLASS.PNG
    6.1 KB · Views: 59
  • STUDENT REPORT.PNG
    6.8 KB · Views: 53
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…