Kwa wale watumiaji wa facebook

weeee! Huwa wanalipwa pesa za ukweli, hackerz wa facebook wengi wao wameajiriwa na 'my space'. Kuna jamaa mmoja ali'hack facebook ikashindwa kufanya kazi kwa muda, sasa hivi huyo jamaa ameajiriwa na facebook na anakula pesa nzuri tu.
<br />
<br />
umejuaje,au alikuambia?
 
Mmmh hatar&#305; wajamen&#305;.
 
Hao hackers watakuwa wametumwa ili kupunguza nyomi kule facebook maana wameona wanamake sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…