talibomtoto
Member
- Nov 15, 2017
- 43
- 18
Kwa wale wataalamu wa madawa nimeenda hospitali kwa tatizo la sikio langu la kulia linalotoa sauti.
Nimepewa dawa mbili:
1. Ampiluclox (hii ni ya vidonge)
2. Boric acid (ni ya maji)
Msaada tafadhali dawa hizi zinafaa au la?
Kuna sauti zinaskika wuuuuuuuuu moja kwa moja
Kituo cha afya Njombe Mjini mkalaba na stendTumia dawa ukiona hamna mabadiliko rudi kwa dokta au badilisha hospital. Btw, ulienda hospital gani?
Okay, nimekuuliza hivyo kwa sababu nimewahi kupata tatizo kama hilo nikaenda Temeke hospital nikaishia kupewa dawa za kuweka matone kwenye sikio. Hazikusaidia chochote so nikaamua kwenda hospital nyingine private ambayo inadili sana na masikio, pua na koo. Hapo nilisafishwa na kuwekewa dawa ya kupaka tatizo likaisha.Kituo cha afya njombe mjini mkalaba na stend
Asante sana nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kuulizia hapa Njombe hospital kubwa maana ni Mgeni nipo kwa muda hapa kama wa mwezi mzima huu wa tisaOkay, nimekuuliza hivyo kwa sababu nimewahi kupata tatizo kama hilo nikaenda Temeke hospital nikaishia kupewa dawa za kuweka matone kwenye sikio. Hazikusaidia chochote so nikaamua kwenda hospital nyingine private ambayo inadili sana na masikio, pua na koo. Hapo nilisafishwa na kuwekewa dawa ya kupaka tatizo likaisha.
Ushauri.
Jaribu kwenda hospital yeyote kubwa yenye specialist wa masikio.
Poa poaFresh, tuko pamoja.
Asante sana DarmianInaonekana una infection kwenye sikio ndo maana umepewa ampiclox..na infection yenyewe itakuwa imesababishwa na bacteria ndo maana umepewa antibacterial
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay, nimekuuliza hivyo kwa sababu nimewahi kupata tatizo kama hilo nikaenda Temeke hospital nikaishia kupewa dawa za kuweka matone kwenye sikio. Hazikusaidia chochote so nikaamua kwenda hospital nyingine private ambayo inadili sana na masikio, pua na koo. Hapo nilisafishwa na kuwekewa dawa ya kupaka tatizo likaisha.
Ushauri.
Jaribu kwenda hospital yeyote kubwa yenye specialist wa masikio.
Hospitali gani ulienda?
Ekenywa ipo Magomeni Dsm
Vipi kuhusu gharama za matibabu?
Tinnitus? Otitis Media? Dr wako amekuambia ni ugonjwa gani unaumwa?