Unapatatikana wap mkuu
Mimi nina modern warfare zote hadi 4
Far cry 3
Black ops 1& 2..humu kuna mbish menendez anasumbua sana
Advanced warfare pia ipo
Battlefield 4 na 3...ogopa iyo 4 kuna mbish irish na akna recker na dem anaitwa anna
Nfs the run
Euro truck na American truck simulator
Pia nina just cause 2
Hyo rainbow six hatar nliifuta ebana yani ukila shaba tu chini... Nika chemsha man