Duuh! Niwe na noah, na laki tano, haya changudoa wa nini? Sinatafuta mrembo mzuri tu mtaani kwetu au kwa jirani, kitu kuku wa kienyeji. Hayo ndio madhara ya kuanza mapenzi ukwubwani. Wengine wanalipa 50,000/= au zaidi eti bao moja kwa dada poa. Mungu wangu.
Kwa wale ndugu wapenda dada poa/malaya au kwa jina lingine wale wasichana wanaojiuza mnatakiwa kuwa makini nao sana. Hii ni baada ya kijana mmoja ambaye ni dereva wa noah kujikuta akiwa rumande baada ya gari la tajiri yake kuibiwa. Taarifa zinasema kuwa tukio hilo limetokea hapa jiji arusha baada ya kijana huyo kwenda kwenye baa maarufu iitwayo galaxy na kumuopoa dada poa mmoja ambaye walienda kujivinjari na bila kujijua dereva huyu alinyonya matiti ya binti huyo bila taadhari yoyote kumbe yalikuwa yamepakwa madawa ya kulevya. Baada ya hapo dada huyu alimwibia gari tajwa hapo juu pamoja na fedha taslimu laki tano. Mpaka mda huu ninapowakilisha ripoti hii gari lililoibiwa limepatikana likiwa tayari limeshaanza kuchinjwa(kubadilishwa vitu) likiwa tayari lilishabadilishwa engine.
Hahahahahaha!!!!
Kibarua analeta mbwembwe mbele ya injinia
mara nyingi hata viatu huwa havivuliwi kwa wale viumbe!we ulianzaje kunyonya lukama?isije ikawa hata saltini ulizama
So stupid huyo jamaa...changu unamuandaa kama wife au girlfriend?jamani tujue mipaka..changu hachezewi ni mpira wako tu ngoma uwanjani...unatafuta umaarufu kwa muuzaji?
Huyu jamaa sio mzoefu sector hizo machangu huwa hawanyonywi sehemu yeyote......
Aisee kumbe, nimelearn something hapa.