Hapa nimejifunza kitu mkuu!!Huyu jamaa sio mzoefu sector hizo machangu huwa hawanyonywi sehemu yeyote......
Ni ajali kaziniKwa wale ndugu wapenda dada poa/malaya au kwa jina lingine wale wasichana wanaojiuza mnatakiwa kuwa makini nao sana. Hii ni baada ya kijana mmoja ambaye ni dereva wa noah kujikuta akiwa rumande baada ya gari la tajiri yake kuibiwa. Taarifa zinasema kuwa tukio hilo limetokea hapa jiji arusha baada ya kijana huyo kwenda kwenye baa maarufu iitwayo galaxy na kumuopoa dada poa mmoja ambaye walienda kujivinjari na bila kujijua dereva huyu alinyonya matiti ya binti huyo bila taadhari yoyote kumbe yalikuwa yamepakwa madawa ya kulevya. Baada ya hapo dada huyu alimwibia gari tajwa hapo juu pamoja na fedha taslimu laki tano. Mpaka mda huu ninapowakilisha ripoti hii gari lililoibiwa limepatikana likiwa tayari limeshaanza kuchinjwa(kubadilishwa vitu) likiwa tayari lilishabadilishwa engine.
Huyu jamaa sio mzoefu sector hizo machangu huwa hawanyonywi sehemu yeyote......
kwanza kutembea na vitu vya thamani kwenye mazingira yasiyokuwa na utulivu wa kutosha ni kosa la kwanza.lakini kosa la pili ni pale mtu anapojifanya anajua sana mapenzi mpaka kwa asiowajua.hivi kuna haja gani ya kumnyonya mtu usie mjua?du, pole zake,
hii imewapata wengi sana , sema hawaibiwi magar, sasa sana ni sim na pesa na vutu vingine km lap top nk.
ushauri unapo plan kwenda kujiliwaza na hawa viumbe ni marufuku kutembea na vitu vya thaman
Majitu mengine uroho ndiyo unayoyasumbua ngoja yawe yanapatikana, kila likiona chakula cha mtoto ni kurukia tu na kuanza kubugia!Huyu jamaa sio mzoefu sector hizo machangu huwa hawanyonywi sehemu yeyote......
Hapa nimejifunza kitu mkuu!!
Kwa wale ndugu wapenda dada poa/malaya au kwa jina lingine wale wasichana wanaojiuza mnatakiwa kuwa makini nao sana. Hii ni baada ya kijana mmoja ambaye ni dereva wa noah kujikuta akiwa rumande baada ya gari la tajiri yake kuibiwa. Taarifa zinasema kuwa tukio hilo limetokea hapa jiji arusha baada ya kijana huyo kwenda kwenye baa maarufu iitwayo galaxy na kumuopoa dada poa mmoja ambaye walienda kujivinjari na bila kujijua dereva huyu alinyonya matiti ya binti huyo bila taadhari yoyote kumbe yalikuwa yamepakwa madawa ya kulevya. Baada ya hapo dada huyu alimwibia gari tajwa hapo juu pamoja na fedha taslimu laki tano. Mpaka mda huu ninapowakilisha ripoti hii gari lililoibiwa limepatikana likiwa tayari limeshaanza kuchinjwa(kubadilishwa vitu) likiwa tayari lilishabadilishwa engine.

Niliyaka kuiamini habari hii lakini nimeshituka.
Kwanza uvumi wa matiti yaliyowekewa madawa ya kulevya ni wa siku nyingi sana.
Pili unasema gari lilikuwa linachinjwa(kudis mantle ) ili kuuza kitu kimoja kimoja, halafu wasema imebadilishwa engine . hapo ndo nimeishitukia habari!!!