Kwa Wale Waokoaji ...

Kwa Wale Waokoaji ...

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,255
IMG-20170405-WA0013.jpg
 
bora waende wengine nikienda mimi lzm nimgegede wkt wa kumuoko i mean bado tukiwa kwenye maji! maana pesa ni yako ikiwa kwako ikiwa benk lolote laweza tokea!
 
Si tutavalishwa maboya... au!
😀😀😀 Ni lazima pia ujue ku dive... Sasa kama mtu anazama wewe ukivaa maboya si utakuwa unaelea juu? Huyo mto utampataje chini ya maji? Huo utakuwa sio uokozi...
 
😀😀😀 Ni lazima pia ujue ku dive... Sasa kama mtu anazama wewe ukivaa maboya si utakuwa unaelea juu? Huyo mto utampataje chini ya maji? Huo utakuwa sio uokozi...
Haha.. mimi boxer bwana nilitaka kuchangamkia fursa tu
 
Haha.. mimi boxer bwana nilitaka kuchangamkia fursa tu
Wewe tutakuita wakati wa kuota huduma ya kwanza... Kazi yako kubwa itakuwa ni kumnyonya kwenye mdomo ili aweze kutema maji aliyokunywa kwenye bahari... Pia utahitajika kumkanda kanda kwenye tumbo kusaidia atapike...
 
Back
Top Bottom