STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,260
Wazee wa kususa susa, kitu kidogo unamnunia msichana wiki ili ubembelezwe wewe. Yaani unatafuta kasababu kaduchu ili unune wengine, eti wananuna kisa wamemuita msichana waende out msichana akasema hawezi ameitwa na mama yake amsaidie kazi jamaa ananuna.
Eti umenidharau unaona mamako wa thamani kuliko mie mpenzi wako. Akili matope. We kaboifurendi tu mmekutana ukubwani wote mna meno 32 ndo uwe na thamani kuliko mama yake aliyembeba miezi 9?
Kuna wanaume nahisi metarmophosis process yao haikukamilika. Ipo siku mtakumbana na wasichana wana damu ya Hitler wana roho ngumu wana misimamo ya mrengo wa kushoto ukimwaga ugali wanamwaga mboga. Ukijinunisha wiki unakuta ushaachwa unabakia unajichekesha na bebi am sore nyingi. Usimpe chizi adhabu ya kula jalalani maana kwake jalala ndo Kempinski.
Naruhusu kupigwa Mawe