Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,809
- 34,193
Watu wa mashini (ROBOTS) sasa kutengenezwa na hisia za kufanya mapenzi
Wanawake waliotengenezwa na mashini maarufu ROBOTS ,sasa watatengenezwa wakiwa na hisia za kufanya mapenzi kama mfano wa binadamu.
Maroboti hawa waliotengenezwa katika nchi ya Japan wamekuwa kipato kinono kwa wafanyibiashara kwani wanaume wanawanunua na kuwafanya wapenzi wa chumbani.
Kate Darling mtaalamu wa idara ya uundaji wa marobot hawa anasema mjadala wa utata kuhusu matumizi ya mashini hizi unaonyesha namna halisi ya fikra za binadamu.
Je MAROBOT hawa wa kike wakifika madukani Afrika utanunua? Toa maoni yako
chanzo.CRI Kiswahili