Kwa wale wanasema wanawake ni wengi kuliko wanaume

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
395
1,387
Kwa wale wanasema wanawake ni wengi kuliko wanaume. Hii sio KWELI. Ukweli ni kwamba wote tuko sawa, yaani wanaume na wanawake.

NOTE:
idadi ya wanaume Duniani ni 50.5%
Idadi ya wanawake Duniani ni 49.5%.

Idadi ya wanaume Tanzania ni 50%
Idadi ya wanawake Duniani ni 50%.

Na takwimu ziko hivyo Kwa mataifa yote Duniani.

Source: World population live chart.
NOTE: kama hesabu zinakupiga chenga, hii thread isome tu maana huwezi kuelewa
 
survive rates za watoto wa kiume ni ndogo kuliko za watoto wa kike, na mwanamke anaishi miaka mingi zaidi ya mwanaume all things being equal, 50/50 sidhani
 
Back
Top Bottom