Ni kweli kaka ukisoma DIT ada yako haiendi bure,ila pole pale hakuna IT kwa level ya degree,ila IT Fundis ambayo ni diploma kwa miaka 3!,ila coz za engineering tu ndo mpaka degree na unakua deep mbayaaa kuliko hata hao wanaozuga wanasoma engineering kuleeeee haahahhaha