Kwa wale wanaojuwa matunda, hili ni tunda gan?

We acha tu mambo ya Valentine...na leo Ijumaa ukitaka kuona Guest na Hotels zinavyojaa Sinza na Mitaa yake nenda leo baada ya saa tatu usiku .....ndo utajua kuwa kweli siku ya wapendanao...wengine tupo safari....hatujaiona
Kila la heri wapendanao
 
hilo ndilo tunda la mti wa katikati kama lilivyo hapo pichani, ndilo adamu na eva walilolila wakaleta dhambi, hilo tunda ni tamu sana lakini mimi silipendi katu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…