Kwa wale wanaohitaji free net

Kwa wale wanaohitaji free net

Wenzangu mm nimepata mteremko napenda tuufaidi soteeee call me 0779420000
 
kweli wew huna akili ndo nin sasa,ila ww kilazaa,embu peleka kwenu huo utumbo....
 
Unaweza kuni pm or call 0779420000 nikupe maujanja kwa bei ya afadhali kidogo (lini vodacom)

njaa itakupeleka jela. kwa taarifa yako vodacom wamejaa humu. unaweza chezewa chezo. thn ukawekwa kati na ukaianza 2014 kwa miez 6 au mwaka. tumia akili. hata ka ni njaa basi iwe na adabu. kazi zipo nyingi ingia forum ya ujasiriamali utapata akili.
 
Vipi issue hii imeishia wapi? alikhalef mbona kimya? Sema bado kuna haja ya kupiga simu au PM inatosha?
 
Ndo kusema VPN na dada ake sijui tunnelguru kwisha habari zao? Au?
 
Back
Top Bottom