Kwa wale wanaohitaji free net

Kwa wale wanaohitaji free net

alikhalef

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
717
Reaction score
75
Unaweza kuni pm or call 0779420000 nikupe maujanja kwa bei ya afadhali kidogo (lini vodacom)
 
Unaweza kuni pm or call 0779420000 nikupe maujanja kwa bei ya afadhali kidogo (lini vodacom)

Unaweza kuniPM or Call (or=option btn the two), but unajibu PM "call 0779 420 000". Ni vema ungeweka wazi kuwa kwa yeyote anayehitaji apige kwenye hiyo namba, na wala sio PM.
Huu ni ushauri tu mkuu.
 
Unaweza kuni pm or call 0779420000 nikupe maujanja kwa bei ya afadhali kidogo (lini vodacom)
Mtatapa tapa sana mara free net mara BIS free wala msitegemee aibuke expert wa kujitokeza kumwaga maufundi hapa au kule store.

Kijiwe kishachafuka kitambo Njunwa na kundi lake wameingia msituni nadhani mda huu wanakula urojo wa bamia waliobaki ni kubundi etc.
 
Last edited by a moderator:
Kama kawaida sipo kibiashara hivyo wale waliozoea spon feed wakae standy by niwape mteremko kidogo but siyo free maana bundle linahusika KRAPKA DAVINOOOOOO!!!
 
Na wambea wataenda PM vilevile halafu siku mbili b'dae.....blocked.
 
Back
Top Bottom