Jane Mutagurwa
Member
- Feb 7, 2018
- 32
- 3
Mkuu ina maana nikipaka kichwani nywele zitakuwa kama za musungu kutoka burazili?Amin usiamini siku ukianza kutumia asali kwa ajili ya urembo wa ngozi na nywele utajutiafedha uliyotumia kwa vipodozi vingine
We ngozi halo nyororo!tupia kapicha basi Tuone tuhamasikeAmin usiamini siku ukianza kutumia asali kwa ajili ya urembo wa ngozi na nywele utajutiafedha uliyotumia kwa vipodozi vingine